Rais Kikwete azindua miradi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amekuwa mkoani Kagera kukagua shughuli mbali mbali za maendeleo ambapo kati ya tarehe 26 - 28 Julai 2013, alizindua miradi mitatu mikubwa ya ujenzi. Miradi iliyozinduliwa ni kama ifuatavyo:
 
Uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kagoma - Lusahunga yenye urefu wa kilometa 154.
Uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kyaka - Bugene yenye urefu wa kilometa 59.1
Ufunguzi wa Kivuko cha Ruvuvu