Tuesday 3rd October 2023, 14:09 pm

logo

The United Republic of Tanzania

CONTRACTORS REGISTRATION BOARD

  • crblogo

From The Press

photos are coming soon Registrar of the Contractors Registration Board (CRB), Eng. RhobenNkori, briefing the Minister of Works and Transport, Prof MakameMbarawa (not in the picture) on the implementation of the Board, at the Annual Consultation Meeting 2022 held in Dodoma.
Photo by:Admin, 2022-08-01 13:28:54
photos are coming soon Minister of Works and Transport Hon. Prof MakameMbarawe in a group photo with staff of the Contractors Registration Board (CRB) shortly after the opening the Annual Consultative Meeting. He is flanked with permanent secretary (Works) Hon. Aisha Amour (second from the right), the Board’ s Chairperson Eng. ConsolataNgimbwa (second from the left), the Board’s Vice chairperson, Qs. Joseph Tango (first from the left), the Registrar RhobenNkori (Second from the left) in Dodoma 2022.
Photo by:Admin, 2022-08-01 13:26:30
photos are coming soon MAKANDARASI nchini wametakiwa kuzingatia mafunzo wanayopata kwa kuhakikisha wanayatumia kuboresha kazi zao wakati wa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi. Hayo yamesewa Januari 29, 2022 mkoani Dodoma na Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi, Mhandisi Consolata Ngimbwa wakati akifunga mafunzo ya siku tatu kwa Makandarasi wazawa. Amesema CRB imejitahidi kuandaa mafunzo mengi yakiwemo ya namna ya kuandaa mikataba, kujaza zabuni kielektroniki na namna ya kuwasilisha zabuni hivyo lazima makandarasi wayatumie kuongeza ubora wa kazi zao. “Kuna mtu anachangia mada kwenye mkutano lakini akitoka hapo getini yote aliyojifunza anayaacha hapo sasa naomba tuyaishi haya tunayojifunza kwasababu ni kwa faida yetu sisi wenyewe kukuza biashara hii. Mwezi ujao kutakuwa na mafunzo ya menejimenti na kufanya kazi kwa ubia naomba mhudhurie muongeze ujuzi,” amesema Amesema ni vizuri kuwatumia wataalamu kwenye utekelezaji wa shughuli zao lakini wanapaswa kutokuwa wategemezi kupita kiasi hivyo watumie mafunzo hayo kujiweka sawa na kuchana na utegemezi wa kujaza zabuni na kuendesha makampuni yao. Amesema kazi za ujenzi ziko nyingi lakini za ushindani badala ya kukaa na kulalamika kwamba hawapati kazi wayatumie mafunzo hayo kuongeza ujuzi hasa kwenye kujaza zabuni kielektroniki na kuweka bei ambayo ni halisia. “Hakuna kazi nyingi kwamba kila mtu atapata lakini zipo za ushindani na ili uweze kushindana kwenye soko hili ni lazima uwe na ujuzi mkubwa kwenye menejimenti, kujaza zabuni na kusimamia mikataba sasa ukisikia mafunzo njoo yana faida kubwa,” amesema Amesema Serikali imejitahidi kutangaza zabuni nyingi za miradi ya maji na ujenzi wa barabara hivyo makandarasi wa ndani wtakaobahatika kuipata wanapaswa kuitekeleza kwa ufanisi mkubwa. “Mkifanya vizuri mnajitengenezea njia yenu na ya wengine kuaminiwa ukifanya vibaya unatuharibia nasisi kuaminiwa. Biashara hii ya ukandarasi ni nzuri tu na ya heshima kwa hiyo hakikisheni mnalinda heshima ya kazi yetu kwa kufanyakazi nzuri,” amesema SOURCE: MICHUZI BLOGSPOT, 29 JAN 2022.
Photo by:Admin, 2022-02-02 08:30:51

Notice Board

Click "New" Icon Below To View Adverts

Video Adverts

Photo Gallery

Subscribes For Newsletter