Error message

Notice: Undefined index: class in video_embed_field_handle_youtube() (line 193 of /home/crblinux/domains/crb.go.tz/public_html/sites/all/modules/video_embed_field/video_embed_field.handlers.inc).

News & Events

Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi ametoa wito kwa Wahandisi nchini kuwa waaminifu na kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa Bodi zao ili wazidi kuboresha sekta ya ujenzi.

Jun 10, 2015

Showcase

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amekuwa mkoani Kagera kukagua shughuli mbali mbali za maendeleo ambapo kati ya tarehe 26 - 28 Julai 2013, alizindua miradi mitatu mikubwa ya ujenzi.

Jun 10, 2015

Sportlight

Aliyewahi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, awamu ya tatu, Mh Benjamini William Mkapa amesema kuwa hakubaliani na mikataba ya Kimataifa ya kiuchumi ambayo inawanyima Watanzania haki ya kujiendeleza.

Jun 10, 2015